Hivi karibuni shirika la umoja wa taifa linalojihusisha na maswala ya elimu, sayansi na utamaduni (UNESCO) liliutaja mji wa Hallstart kama moja ya miji inayovutia duniani( UNESCO WORLD HERITAGE).
Mwanzoni serikali ya Austria ilipatwa na shaka juu ya uamuzi huo wa china, ila maelewano yalifanyika na wanategemea kushirikiana katika mambo mengine vile vile
Meya wa jiji la Hallstart alisafiri na jopo lake kutoka Austria hadi mjini HUTZHOU, na kuhudhuria ufunguzi, na kukukiri kuwa mwanzo wazo hilo la china lilizua utata.
Ni mategemeo ya wengi kwamba mji huo utakuwa kivutio kikubwa sana , takwimu zinaonyesha idadi ya wa china isiozidi 50 mwaka 2005 ilikuwa ikienda katika mji wa Hallstart iliongezeka hadi kufikia maelfu hivi sasa liliesema jopo hilo la wadau kutoka Austria .
Ujenzi wa mji huo badi unaendelea, na upo chini ya mfabiashara mwenye mafanikio ya hali ya juu nchini humo.




.jpg)
No comments:
Post a Comment