ALICIA KEYS LYRICS
"Un-Thinkable (I'm
Ready)"
Wasaa wa ukweli
Mmoja kati yetu anapaswa kuongoza haya mazungumzo
Je itakuwa nani?
Mimi nitakaa hapa hapa
Nitasema kila kitokacho upande wangu
Itakubidi useme sasa
(Drake: Itakubidi useme sasa
Upo tayari?
[Bridge]
Unanipa hisia ambazo
sikuwahi zihisi hapo kabla
Na ninastahiki,
nafikiri ninastahiki
[Drake: Nastahiki,
nahisi stahiki ..ipotezee)
Kinabadilika kuwa kitu
ambacho, ni vigumu kukipuuzia
Na nimeshindwa
kuvumilia
(Drake: Nimeshindwa kuvumilia)
[Chorus-Alicia &
Drake]
Nilikuwa nastaajabu
pengine
Je naweza kukufanya
mpenzi wangu
Tukifanya
kisichofikirika(kisijocho tegemewa) Je tutaonekana wehu
Kama Ukiniuliza mimi
nipo tayari
(Mwangwi: Nipo tayari,
nipo Tayari)
(Mwangwi: Nipo tayari,
nipo Tayari)
[Verse 2]
Najua uliwahi nitamkia
“hivi ndio hasa, ilipaswa kuhisi hivi kama
ilipaswa kuwa”
Inatubidi tufanya sasa
(Drake: Inatubidi tufanye sasa)
Bay, uh
Bay, uh
[Bridge]
Unanipa hisia ambazo
sikuwahi zihisi hapo kabla
Na ninastahiki,
nafikiri ninastahiki
[Drake: Nastahiki,
nahisi stahiki ..ipotezee)
Kinabadilika kuwa kitu
ambacho, ni vigumu kukipuuzia
Na nimeshindwa
kuvumilia
(Drake: Nimeshindwa
kuvumilia
(Chorus-Alicia &
Drake:)
Nilikuwa nastaajabu
pengine
Ningekugeuza kuwa
mpezi wangu
Tukifanya
kisichofikirika(kisijocho tegemewa) Je tutaonekana wehu
Au ingependeza
vyovyote vile minasema tuu
Kama Ukiniuliza mimi
nipo tayari
(Mwangwi: Nipo tayari,
nipo Tayari)
(Mwangwi: Nipo tayari,
nipo Tayari)
Ndio, imba …
(Hook:)
Kwa nini tukate tama
kabla hatuja jaribu
Hisi ya kawaida kabla
makubwa
Tuweke sawa mabawa
yetu sawa kabla yakuruka
Siwezi sema nilikuja
nikiwa nimeshajiandaa
Ninaelea hewani
Huji angani tuwe sote
(Chorus-Alicia &
Drake:)
Nilikuwa nastaajabu
pengine
Ningekugeuza kuwa
mpezi wangu
Tukifanya
kisichofikirika(kisijocho tegemewa) Je tutaonekana wehu
Au ingependeza
vyovyote vile minasema tuu
Kama Ukiniuliza mimi
nipo tayari
(Mwangwi: Nipo tayari,
nipo Tayari)
(Mwangwi: Nipo tayari,
nipo Tayari)
Ndio, imba …..
No comments:
Post a Comment